Beki kisiki Presnel Kimpembe amemaliza safari yake ya miongo miwili na PSG baada ya kujiunga na Qatar Sports Club. Kimpembe, ambaye alikuwa kipenzi cha mashabiki kwa uaminifu wake, alicheza michezo 241 katika misimu 11 ya kikosi cha kwanza.