Lazio imekuwa ikipambana kutafuta mabao msimu huu huku Ciro Immobile akionekana kuanza kulemewa na umri. Safu ya ushambuliaji inahitaji damu changa ili kurejesha makali ya timu hiyo inayowakilisha jiji la Roma upande wa pili.