Atalanta Training

Atalanta imeendelea kuwa timu hatari zaidi kwa timu kubwa za Serie A. Chini ya Gian Piero Gasperini, timu hii kutoka Bergamo imekuwa ikitumia mbinu ya kukaba kuanzia juu (man-marking) ambayo inawapa tabu viungo wabunifu wa timu pinzani.