Olympique de Marseille imefanikiwa kumsajili kiungo wa kimataifa wa Uholanzi, Quinten Timber, kutoka Feyenoord. Timber amesaini mkataba wa muda mrefu hadi mwaka 2030, akileta uzoefu na ubunifu katika safu ya kiungo ya Marseille ambayo inapambana kurudisha heshima yake.