Ligue 1 Stats

Kiungo Adrien Thomasson ameweka rekodi ya kipekee msimu huu akiongoza kwa pasi za mabao (assists 10) na pia akiongoza kwa kadi za njano (11). Hii inaonyesha umuhimu wake katika mchezo huku akiwa mchezaji mwenye upambanaji mkubwa uwanjani kwa ajili ya timu yake.